Mfumo wa Maombi ya Ajira Za walimu TAMISEMI 2023/2024 Teachers Job Application

 

Mfumo wa Maombi ya Ajira Za walimu TAMISEMI 2023/2024 Teachers Application
TAMISEMI 2023/2024 Teachers Application

Mfumo wa Maombi ya Ajira Za walimu TAMISEMI 2023/2024 Teachers Job Application

Instructions.

Please select the type of employment application if it is HEALTH or EDUCATION

If you are a new applicant click on the top right link "Register" to start applying

Enter NIDA number or email address as username and enter your password to log into the system.

After successfully logging in, please complete your application before the deadline

Incomplete applications will not be processed

Make sure you read and understand the advertisement before applying

Make sure the certificates you attach are legible

Submitting false information will lead to legal action being taken against you

Click here to register to apply

For Help

Please call customer service: 026-2160210 or 0735-160210


DJTWA AJIRA MPYA

Maelekezo.

Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU

Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia "Jisajili" kuanza kuomba

Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.

Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho

Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi

Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa

Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri

Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako

Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi

Kwa Msaada

Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210

https://ift.tt/0ULQz5b

No comments:

Post a Comment